• 0
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0

Mali Safi iende Chain Chain !!

Ka imeweza imeweza na
Kakienda basi enda nayo
Ka imeweza imeweza na
Ukibebwa basi bebwa nayo

Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain

Wamlambez ka ulimi
Nishakuwa champez na imewacha kuwa siri
Ndio maana navaa machain na machingri
Na siku hizi hata ukikam na sanse sishikiki

Na daily niko biz na mabigfish wa jiji
Ma cheque husign iwa hadi kalamu haziandiki
Maweng kibao kuzibeba ni tizi
Nakaa kanisa empty hakuna kaSisi

Baadae niko rieng ya madrinks na mayengs
By 9 niko tings naona nikibleki ten
Sai siko right so itabidi nimeleft
Ju pori venye ziko brathe ni ka zimeDent

Ka imeweza imeweza na
Kakienda basi enda nayo
Ka imeweza imeweza na
Ukibebwa basi bebwa nayo

Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain

Mi na maChampez tunaPop ma Champagne hadi..
Mama ploti anacall maSanse aki..
Dhani ni magunshot za Bunde nanii!!
Siku hizi tumekafunga tukatupa key.

Ndio maana me hudunga ka msumari
Na kitu imebaki ni kumea tu kitambi
Juu ndani ya walenje nina kambi ya ganji
Na siku hizi sina rende nina gang ya wafuasi

Ka imeweza imeweza na
Kakienda basi enda nayo
Ka imeweza imeweza na
Ukibebwa basi bebwa nayo

Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain

Mimi ni kama dredy after nywele shaggy beiby
Better and improved making power moves daily
Siku hizi siwezi loose chance niko radar deadly
Na kama movie ya romance siwezi kosa pengting

Nipe rieng Gathee nicheze ka me
Nakam na ma sssh, mayengs na madrinks
Acha bash ibeng ka speaker ya ma3
Wakiteta ki Akothee waambie col polis(Call them)
.
.
.
.
.
Ka imeweza imeweza na
Kakienda basi enda nayo
Ka imeweza imeweza na
Ukibebwa basi bebwa nayo

Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain

0 comments
    No comments found

:: / ::
::
/ ::

Queue