Niamini
Ninataka
Uwe wangu
milele
Kabla upate
nishakuwa
na mwingine
Pre-Chorus:
Niambie, Niambie ni mimi x2
Sitaki kujua mwingine,
Sitaki kujua mwingine ewe x2
Chorus:
Niambie eee
Niambie eeeee
Niambie eeee
ni mimi, ni mimi
Verse 2:
Contemplating
My decision
On a mission for more
It's such a challenge
got tightrope balance
but it's worth fighting for
Pre-Chorus:
Niambie, Niambie ni mimi x2
Sitaki kujua mwingine,
Sitaki kujua mwingine ewe x2
Chorus x2