• 5
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0

Natafuta is a Swahili word meaning I am looking for.
In this groovy reggae beat, big pin smoothly raps about how he is looking for the love of his life
This song won Bigpin a KORA award for the best male artist in East Africa in 2004


Lyrics Written and Performed by: Big pin
Music Produced by: Ogopa deejays

An gima Mora no kaseyudo nyara to onge ngama chanda
Once ngama bwouga
One anyone in the world
Manyalo buoga

(Chorus)
Natafuta manzi mmoja anaenibamba Eeeh
Manze kitu mwenye Ndanda Eeeh
Mwenye Figure ya maana mabam bam
Nikampata nitam Eeeeh

(Verse 1)
Nimemwona Dada ana mwili ya kisure
Kabisa na figure na umbo La kuua
Nani Mimi hatari
Namecheki kwa umbali
Nawaza vile nitapendua hiyo serikali
Na bado
Nakwambia mambo bado
Mwako Tobacco za Afco ndio njaro
Mamanzi wakijiseti wakiuma vako
Nacheki ni mgani nauliza niaje
Na una mano nami nakutamani
An Gima Mora no kaseyudo nyara
To onge ngama chanda
Once ngama buoga
Onge anyone in the word
Manyalo buoga

(Chorus)
Natafuta manzi mmoja anaenibamba Eeeh
Manze kitu mwenye Ndanda Eeeh
Mwenye Figure ya maana mabam bam
Nikampata nitam Eeeeh

Aiyawa Toto don't do this to me....
I thought you and the beast
We were meant to be
Don't play with my head
I'm not in class three
I'm an educated with a PHD
Natafuta manzi mmoja
Anaenibamba Mwenye Haga
Nikimlaza kwa kitanda
Nampakata namwambia achore saba
Napeleke nyuma na mbele
Bumber to bumber


(Chorus)
Natafuta manzi mmoja anaenibamba Eeeh
Manze kitu mwenye Ndanda Eeeh
Mwenye Figure ya maana mabam bam
Nikampata nitam Eeeeh

Aduda Aduda my dear
Aduda gimani chi miya
Aduda omako nyaka wia
Aduda it is very weired...
Basi mwambie ni hivi
Songa karibu ni wewe na Mimi
Peleka mdogo nice and eazy
Apenji unanihisi lakini eeeh

(Chorus)
Natafuta manzi mmoja anaenibamba Eeeh
Manze kitu mwenye Ndanda Eeeh
Mwenye Figure ya maana mabam bam
Nikampata nitam Eeeeh

0 comments
    No comments found

:: / ::
::
/ ::

Queue