FORGET YOU LYRICS
I'll never forget you
I'll never pretend to
Tumepita kwenye jua
Tumepita kwenye mvua
You've always been so true
Kweli umecome through
Ni heri ungejua
Mwingine sitajua
Saa zile mi ukuwazanga sana
Picha zinakuwanga za maana
Yule anapanganga ni maulana
Ila siwezi ngoja.
Mpaka vile tutaonana....
Show me the greenlight
Tell me you're alright
Je uko na dawa??
Umepiga shower??
Deep in the dark night
Make me your moonlight
Ata bila power
Tutakuwa sawa
Na kama unaniwazanga sana
Mi na wewe tunafanana
Najua pia wewe unang'ang'ana
Na so siwezi ngoja
Mpaka vile tutaonana....