Sikosi Uradi nipate nimechill na kabinti
Form ni mingi hadi anashangaa na sisi
Kila siku ya wiki, get tipsy
Na nikiget doh nablow it all on the Whisky..
Jack D, Jamey now blame it on the Henny
We started out slow nilikuwa Aje mlevi
Ish too crazy kukumbuka siwezi Nilijiget home juu ya bed nimebleki
[ PRE CHORUS ]
Si ma soo Ni ma Ngirree.. Zimenice
Dem mmoja Wawili.. Zimenice
Na ma Tusker ma Pillee.. Zimenice
Mara ya kwanza ya pili.. Zimenice
Si ma soo Ni ma Ngirree.. Zimenice
Dem mmoja Wawili.. Zimenice
Na ma Tusker ma Pillee.. Zimenice
Mara ya kwanza ya pili.. Zimenice
[ CHORUS ]
(Zimenice.. Zangu zimenice.. Zimenice) × 4
[ VERSE 2 ]
Nipe beat Nipe mic Karatasi kalamu
Huu mziki ndio kazi naofanya kwa hamu..
Juu nateka mali kaa boko haram na ikijipa bas ntawaandalia Karam
Bash mara that that tunakuja chap chap
Tunakuja na tei Gode hadi tap tap
Ati? Shore wants to take a snap.. Ashatoa top ashanikalia lap!
[ PRE CHORUS ]
Si ma soo Ni ma Ngirree.. Zimenice
Dem mmoja Wawili.. Zimenice
Na ma Tusker ma Pillee.. Zimenice
Mara ya kwanza ya pili.. Zimenice
Si ma soo Ni ma Ngirree.. Zimenice
Dem mmoja Wawili.. Zimenice
Na ma Tusker ma Pillee.. Zimenice
Mara ya kwanza ya pili.. Zimenice
[ CHORUS ]
(Zimenice.. Zangu zimenice.. Zimenice) × 4
[ VERSE 3 ]
Me.. Nimechill inadi back juu watu huko mbele wako maji kama tap
Na kesho niko works.. but venye zimenice itabidi nime flash mdosi
Aki call back akianani siokoti.. Niko kando ya woofer na kelele ya mbogi
Kama ni ngori basi kesi badae whoa niko cloud nine eh wasee niko high
[ PRE CHORUS ]
Si ma soo Ni ma Ngirree.. Zimenice
Dem mmoja Wawili.. Zimenice
Na ma Tusker ma Pillee.. Zimenice
Mara ya kwanza ya pili.. Zimenice
Si ma soo Ni ma Ngirree.. Zimenice
Dem mmoja Wawili.. Zimenice
Na ma Tusker ma Pillee.. Zimenice
Mara ya kwanza ya pili.. Zimenice
[ CHORUS ]
(Zimenice.. Zangu zimenice.. Zimenice) × 4
[ OUTRO ]