• 3
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0

Produced by Leon Vibes (Straymusic)
Mastered by Sifa

Dem Kutoka Mwiki

Verse 1:

Bidii na skill, kiTegla (huh)
Lorupe, kismat ni extra
nshow vle unafeel, pretender (huh)
usishtuke, ndo stuff napenda

shipment kwa flight nshapokea troph'ya Afrimma
hater ako tight nikitajwa na heshima

breathe in release, mapema (huh)
jichunge, mtaenda na pressure

frequenting flights niko juu nktafta pesa
treatment ni right nikipull up kwa sector
decent na mic wanabuya nkitema
mistake utry kuvuruga utahema

10 years ago nlikuwa juu ya double dekker
growth mekuwa slow lookin back najicheka

Mkwanja ya mziki wanga tam ukiteseka
Industry queen wanang'am nikibweka

Hook:

Kulia kushoto
Napita kati
Femi ni moto
Otea na mbali
Mama watoto
Nalea machali
Najua musoto
Unishtui mali

Nafanya mziki
Nafanya kazi
Natamba mjini
Uski nko ndani
Dem toka Mwiki
Baddie wa mtaani
Nairobi city
tangu zamani

Verse 2:

Yeah
Watu si wajinga usijigas hakuna noti zinaflow tunamesea..
Si magig si mashow si mabrand jo unastahili unyamaze nikiongea
Wenzako wameketi over there -
Una mapepo ibada nazikemea
Aa mafala wamenizoea
Hukosi kwa pang'ang'a na umbea
Na hatukuoni wasanii tukitokea

Last aliperform bado Na****tt ikiwa
It's lonely at the top, chapa kazi utafikiwa..

Naskia ningeflop ni label imenshikilia nashindwa nani amewastop si ata nyi mngeshikiliwa tufanane

Inauma wakicheki tunalive vle wanadream
Uski na bado-itabidi wameget used to -
Na akuna samahani ache nispit vle nafeel..
ii haga yangu itabaki mmepeck busu


Hook:
Kulia kushoto
Napita kati
Femi ni moto
Otea na mbali
Mama watoto
Nalea machali
Najua musoto
Unishtui mali

Nafanya mziki
Nafanya kazi
Natamba mjini
Uski nko ndani
Dem toka Mwiki
Baddie wa mtaani
Nairobi city
tangu zamani


Verse 3:

Kulia kushoto..
Kabla unicross jiulize maswali most, ni nini inaenda kuk'cost saabu

Femi ni moto..
Ya kuotea mbali n'jaribu utageuzwa hali
Mwil'yako ifichwe mahali mi ni

Mama watoto..
You are my sons and daughters vile inafaa
Kimziki nimewazaa -

Ghetto maisha ya msoto
Naijua vizuri so pesa aiwezi nchanganya
Talanta nmeifanya mkwanja

Cheki..

Hook:

Kulia kushoto
Napita kati
Femi ni moto
Otea na mbali
Mama watoto
Nalea machali
Najua musoto
Unishtui mali

Nafanya mziki
Nafanya kazi
Natamba mjini

Uski nko ndani
Dem toka Mwiki
Baddie wa mtaani
Nairobi city
tangu zamani

0 kommentarer
    Inga kommentarer hittades

:: / ::
::
/ ::