• 4
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0

Audio Produced by: Manch!ld

[Verse:1]
Tunapull UP mraia watuta tuko juu ya nduthi na back up ya Uber
Madem wa Nakaa chun Li ma Boss chick ki huddah
Venye wana stager ni kaa wanabanjuka
Dem Chuma but anadai kuchungwa, hio pia haiwezi juu tu tumeanza dunda itabaki wametokwa kaa mlango haijafungwa..
Hizi bundal za faa kupigwa Bundas..

[Chorus:]
Najaza meza pamoja na ukuta..
Juu hizi BUNDAS zinani sumbua..
Leo mpaka bouncer apigwe na kichupa..
Juu hizi bundal zinani sumbua
Najaza meza pamoja na Ukuta..
Kaa unanijua leo pigwa na kichupa..
Juu ninabundal na Zangu zimerunda..
Juu nina bundal na zinani sumbuaaaa..

[Verse:2]
All eyes on me kama Makaveli..
Zikicheki cheki mfuko zangu heavy heavy.
Hadi Mwenye bar na meneja wanadai selfie..
Juu meza imejaa mizinga za henny..
Ita waiter akam!! Oya kam..
Mtu wangu shika glass..
Leo pia wewe pigwa na kichupa keep change ukipigwa na the Bundas

[Chorus:]
Najaza meza pamoja na ukuta..
Juu hizi BUNDAS zinani sumbua..
Leo mpaka bouncer apigwe na kichupa..
Juu hizi bundal zinani sumbua
Najaza meza pamoja na Ukuta..
Kaa unanijua leo pigwa na kichupa..
Juu ninabundal na Zangu zimerunda..
Juu nina bundal na zinani sumbuaaaa..

[Verse:3]
Leo situpi lugha ni ma bundal zinazungumza..
Na magyal dem
Kwa niaba ya the mandem
Wananisugua kama kipande kutoka sunset hadi mangware..
Na Leo nawabadilisha kama ma Channel Nawai slim ting pum Pum badae.
Nahalla melanin na yellow ting same time..
Niko idhaa ya kucheza nao kimimi one time

[Chorus:]
Najaza meza pamoja na ukuta..
Juu hizi BUNDAS zinani sumbua..
Leo mpaka bouncer apigwe na kichupa..
Juu hizi bundal zinani sumbua
Najaza meza pamoja na Ukuta..
Kaa unanijua leo pigwa na kichupa..
Juu ninabundal na Zangu zimerunda..
Juu nina bundal na zinani sumbuaaaa.

0 comments
    No comments found

:: / ::
::
/ ::

Queue