First Single of 2019. "Najiskia Kuua Tena" which translates to "I feel the urge to Kill again" is a track about police extrajudicial killing, performed in Sheg (Swahili slang)


Music Production by: Lenny Kiano
Art by: Larry Kimathi

Irony Destroyed - Najiskia Kuua Tena
ALL RIGHTS RESERVED

Usipo nitii ntakutia mtii
ukinicheki mtaani siguziki mi ni hezzy

mandirao twaziwai na intentions za kumurder matargets around
yeah, nina mkono wa sheria na najiskia kuua tena
mayout nalandisha hakuna bakisha mayout nalandisha hakuna kurekebisha

usipokiri hii amri utajua boss ni nani ntakupata pahali unaishi na tutakutoa uhai
ue gaidi ama mgondi lazima ukule marisasi

Na najua kua ya kua ntakuua hautakua na say na najua kua ya kua ntakuua hakutakua na say

usiponitii ntakutia mtii

hivi ndo mi hufeel kutoa uhai

0 comments
    No comments found

:: / ::
::
/ ::

Queue