(BARZ WRITER__NIPO RADHI LYRICS)
INTRO
Jea ah Mwandishi wa mistari
Barz writer na mitaa yaah
VERSE
Nipo radhi ju nimeamua kuwa mjinga
Saii chochote utachosema sintopinga
Malaika wa dunia napenda Unavyoringa napenda unavyocheka
Unavyonuna unavyovimba
Maskani hukutaja kila mida kiukweli
Nimeamua niwe nawe kila shida
Kila shida kwako big up sifa shika Mwanamke wa pekee mwenye utundu na maarifa wananiita mi' ni
Boya safi ju ati nikuwe na uwoya
Staki nahisi kukupenda wewe nihaki Ndomana wanasema sana ila siachi
Wamezoea kubonga mobb wao
Kuleta pang'ang'a ju ati nimeamua tu
Kuzibeba lawama naomba kwa sir GOD mi' nawe tusije achana mapenzi
Ya milele ile laana amina