• 13
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0

Produces & mastered by Sifa

Dem Kutoka Mwiki

Heshma (heshma) heshma (heshma) heshma (heshma) heshma

Ukiniona kwa street ni salut nipe heshma
Femi juu ya beat si mnajua m'wezi mess na..


Verse 1: 12 Bars:

Miaka kumi kwa game unadhani jokes?
Na bado ujuzi ni same inabaki tops
MCees huchochwa na fame wanado the most kuwa mpole watakutema madoba zkianza kuflop -

Hamwezi nieka kwa box
Jaribu, napick malocks
ii chassis ikona mashocks
uu manzi ndo ako kwa talks

Mablogger walikosa story zakunipost hamnaga drama uku kwetu I'm sorry atuna mikos -

.............nmetoka far
nazidi kus**** sound
benkiko mita kadhaa
maishangu imeturn around
hawapendi kuonra napaa
manyoka zmejaa kwa ground
..............walizubaa
Nkapita na vichwa zao

Ni ultrasound wanangoja ni post IG?
Hii bodycount ijasonga, matoast awaingii

Nlifunga duka aa ma mbleina watoshi mboga unadhani mbona madwanzi wanashtuka sing'oki ngotha


Hook: 8 Bars :

Nipe heshma (heshma) heshma (heshma) heshma (heshma) heshma

Ukiniona kwa street ni salut nipe heshma
Fundi juu beat na mnajua m'wezi mess na..

Cheki nipe heshma (heshma) heshma (heshma) heshma (heshma) heshma

Ukiniona kwa street ni salut nipe heshma
Femi juu beat na mnajua m'wezi mess na..


Verse 2: 16 Bars :

Naskia unanichukia
Siezi kumind lakini koseana heshima ndo pa'ali nadraw the line
Nakuanga nmetulia
Niko sublime machizi uwasha nazima inabidi wafall in line -

mi profeshna (yessir)
Heshma (heshma)
Mess na...Femi uone wrestler
ii mbogi ya Mwiki n'ya magwangi nina jesha na
Ao kufa na mimi bonga mavi tunachemsha

'Kiniona kwa street wee salut nipe heshma
Zangu on repeat nilimute aa mafeksta -
Fresh na - sauce iko kwa wingi kama peptang
Vetran - nyim mejaza team na ma yes-man

Watu uknead dough ****ke bread na si talk ya bakery
Food for thought, kula ushibe twelewane mentaly

Wanarap waomoke, mi na rap juu ni life
Skiza gospel uokoke hizi facts ndan'ya lines

Hook: 8 Bars - repetitive flow:

Nipe heshma (heshma) heshma (heshma) heshma (heshma) heshma

Ukiniona kwa street ni salut nipe heshma
Fundi juu beat si mnajua m'wezi mess na..

Cheki nipe heshma (heshma) heshma (heshma) heshma (heshma) heshma

Ukiniona kwa street ni salut nipe heshma
Femi juu beat na mnajua m'wezi mess na..

0 comments
    No comments found

:: / ::
::
/ ::

Queue