Kula Tatu Lyrics
Verse 1
Ni wakati
Wa kuachilia mambo ya kazi
Mimi huyo nishaitisha taxi
Kuna kitu kwenye hewa tonight (night)
Haya basi,
Tunaenda wapi party kwa nani
Kuna drinks ama nipite maskani
Katashika katanuka tonight (night)
Pre-Chorus
Location iko set,
Mzinga ziko check,
Madame na maboy wamekuja kuflex
DJ ako fresh
Mapeddy wanasell
Kadi tumeshuffle na ni time ya kuplay
Chorus
Kula
Kula tatu (x2)
Tukicheza game ya poker
(Kula tatu)
Ukilishwa tatu juu ya joker
Kula macookie na makeki
Tumaji usibleki
Kabusu na kahug tu
Baby kula Tatu
(Kula Tatu)
Kula, Kula Tatu (x3)
Kula
Verse 2
Game imefika wapi?
Nani anacheza, nani anaweka kadi?
Wah!
It's shikaing my guy
It's shikaing my guy
After hii round sitajiweza walahi
But the, night is young
Bado form inadai
And the, vibe is right alright
(Alright!)
Meanwhile,
Mziki imeshika
Na watu wanawika
Ngoma za Wanavokali
Pre-Chorus
Location iko set,
Mzinga ziko check,
Madame na maboy wamekuja kuflex
DJ ako fresh
Mapeddy wanasell
Kadi tumeshuffle na ni time ya ku play
Chorus
Kula Tatu
Kula (x2)
Ukicheza game ya poker
(Kula tatu)
Ukilishwa tatu juu ya joker
Kula macookie na makeki (Kula tatu)
Tumaji usibleki (Pewa tatu)
Kabusu na kahug tu (Mara Tatu)
Baby Kula Tatu
(Kula Tatu)
Kula, Kula Tatu (x4)
Eat three
Wau!
Wanavokali kali kali sana
Outro
Watakubali Wanavokali (x3)
Watakubali