Produced & mastered by Sifa

Dem Kutoka Mwiki

Hook: [Domani Munga]

Hi clique ni n'ya wanati
Skrr skrrr hunipati
Wallahi aki
Unaeza dhani ni illuminati
Wapi?

Staki na staki x3
Staki na staki x2
Staki na staki na staki na staki
Staki na staki x2
Mmh mmh, wapi?
Staki na staki x2

Man a burn fire x3


Pre-Verse: [Femi One]

Staki na..
Staki na staki
Staki na staki...

Verse 1: [Femi One]


Ambia boyfie simtaki
Iyo time akupee sko idhaa
Maboy wanareverse kwa ma.parking
Ye ni calls kureverse kila saa

Femi One, their mom, their auntie
nliwashow awa maMC nmewazaa
Nditni kwa mraa, niko active
Sina time ya kulink na mang'aa mi staki-

Staki na staki, drama na nuks
(Skrrr) hunipati, staki mamoods
Kama si mali, kama si ganji
Niko Jumanji, niko kwa woods

Nigga ni tragic, pedi wa nudes ...
Imagine.. hell of a dude -
Telegram chattin, hawker wa ngwati, broker wa dhambi, Stevo maboobs ..

Ka staki staki, kwani ni lazma? mbona unaforce?...
Mans alipigwa stopa DM akajam ka spread on toast...
I guess nilishrink his ego left on read and he had some hopes -
Clique ni savage, clique ni rong
Hii clique ni /clique ni /clique ni/

Hook: [Domani Munga]

Hii clique ni n'ya wanati
Skrr skrrr hunipati
Wallahi aki
Unaeza dhani ni illuminati
Wapi?

Staki na staki x3
Staki na staki x2
Staki na staki na staki na staki
Staki na staki x2
Mmh mmh, wapi?
Staki na staki x2

Man a burn fire x3

Verse 2: [Femi One]

Verse 1: [Femi One]

Hii clique n'ya mabobo shanti
Always skankin! Jobless party…
Alivuta foreign na ulafi akacheki mwangaza kama Kamlesh Pattni

Life luwalala
View ni ya bramba
Staki na staki, blunt umelamba
Staki na..
Atimes ilibamba
And them akanza feelings vibe ikaishanga

Staki na staki stamina energy kama ni mbwakni staki na
WhatsApp groups hunipati I don't correlate na umati staki na

Alibonga reckless mneti ata skureact zero pressure skuangi na time
Time ya mambleina spati, wallahi aki
mshow akae mbali na..

ATM limit ni maximum ..
Mteja wa nambari hapatikan-
Wako roaming ka padre wa Vatican ngoma hazipop tunatambua ni pandisa

Clique ya mapagan clique ya warazi
Staki na staki kuinteract na madwanzi

Tuko ma endeavour ...mamradi
Clique ya mapeng, ii ni clique ya mabaddie

Hook: [Domani Munga]

Hi clique ni n'ya wanati
Skrr skrrr hunipati
Wallahi aki
Unaeza dhani ni illuminati
Wapi?

Staki na staki x3
Staki na staki x2
Staki na staki na staki na staki
Staki na staki x2
Mmh mmh, wapi?
Staki na staki x2

Man a burn fire x3

Recently Listened by

0 comments
    No comments found

:: / ::
::
/ ::

Queue