• 16
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0

Credits:
Written by Wanavokali :
Mellina Misoi (Mellah)


Performed by Wanavokali:
Lead Vocals by Mellina Misoi (Mellah)

Background Vocals by:
Faith Chepkorir (Chep)
Lena Adhiambo (Lena)
Mbari Gathariki (Riki)
Samuel Mwangi (Sam)
Waithera Chege (Ythera)

Audio produced by Mutoriah
Mixed and Mastered by Wuodomollobeats
Guitar by Marcus Ngigi
Bass by Christian 'Rush' Rushingwa
Drums by Joel Otieno (Big Man Chucho)

You can find us here:
Youtube: https://www.youtube.com/channel/UCux-...
Facebook: https://www.facebook.com/wanavokali
Twitter: https://twitter.com/wanavokali?lang=en
Instagram: https://www.instagram.com/wanavokali/...
Email: wanavokali@gmail.com

Lyrics:
Verse 1
Tangu uende safari
Tulipoagana kwaheri
Siku nyingi zishapita

Kuitika mwito wa kazi
Kutafuta unga na sukari
Kila la heri my dear

Pre-Chorus
Nahisi
Naumwa ndani kwa ndani
Ilimbidi
Mpenzi aende mbali
Zaidi
Ili aweze kusaka mali
Naomba
Arudi nyumbani

Chorus
Ouwo ouwo ouwo ouwo ooo ouwo ooo nitangoja x2

Verse 2
Juzi niliona kwa Tv
Hali duni duniani
Haikuwa fiti (oh no)

Nakumbuka ulisema nisiworry
Hakutakuwa dhiki wala ngori
Kuko sawa

Pre-chorus
Basi mbona nahisi
Naumwa ndani kwa ndani
Ilimbidi
Mpenzi aende mbali
Zaidi
Ili aweze kusaka mali
Naomba
Arudi nyumbani

Chorus
Ouwo ouwo ouwo ouwo ooo ouwo ooo nitangoja x2

Bridge
Ata ,iwe ngumu
Mi niko hapa
Sitachoka
Nakungojea
Nakuombea urudi salama x2

Ouwo ouwo ouwo ouwo ooo ouwo ooo nitangoja x2

0 komentari
    Nema komentara

:: / ::
::
/ ::

Red