Verse 1
(Mulla)
Niko na mbugi, kila siku sherehe
venye na move this Wananiita pere
What time it is? We karibia
Call your friends hakuna kitu mtalipia
I got this I got you
Panda kwa Dala au Matatuu
Chorus
(Mulla and Mbithi)
Wikiendi, patana nami
Ni vibe za kimoda
Ongeza BIA Moja
Ziko wapi leta nyama tuzimeno
Dar city Nairobi mpaka Legos
Ndani joto kama tupo kwenye thermos
Kuwa makini ka unanyala za magendo
Verse 2
(1der)
Straight from di kafunda
Rolex nako katunda
Teleza enanga tewazewano kutula
Twazeku kyabya tulimukino ekiduula
Ha
Rasta innuendo
Ndiwano ndikulugendo
International kintu kyetuzeko
Abali batumanyi nga abatuzibeno
Chorus
(Mulla and Mbithi)
Wikiendi, patana nami
Ni vibe za kimoda
Ongeza BIA Moja
Ziko wapi leta nyama tuzimeno
Dar city Nairobi mpaka Legos
Ndani joto kama tupo kwenye thermos
Kuwa makini ka unanyala za magendo
Verse 3
(Mulla)
Nyagi na bia ndio kitu napenda
Nikipata toto si vungi nachenga
Hakuna ku…. hakuna kuremba
Ukizubaa budaa uta perembwa
Chorus
(Mulla and Mbithi)
Wikiendi, patana nami
Ni vibe za kimoda
Ongeza BIA Moja
Ziko wapi leta nyama tuzimeno
Dar city Nairobi mpaka Legos
Ndani joto kama tupo kwenye thermos
Kuwa makini ka unanyala za magendo