LYRICS
Nilipokua jana
Sipo nilipo leo
Si kwa ujanja wangu Baba aah
Ata walipo nikana
Ulibaki na mimi
Nina kushukuru sana
Ni wewe milele kipekee nina kuabudu
Nisamehe nikikosa nikiwama unipe majibu
Ni wewe milele kipekee nina kuabudu
Nisamehe nikikosa nikiwama unipe majibu
Umesababisha najidai Umesababisha nafurahi
Natembea kifua mbele amen
Kwa hizi baraka na uhai
Baba sina cha kukudai Aloniweka weka hapa ni wewe
Acha nikusifu milele amina
Milele amina milele amina ehh
Acha nikusifu milele amina
Baba milele amina milele amina ehh
Naona ka nina bahati
Kwa yote uliofanya ohh thank you Lord
Miujiza mbele yako na piga goti
Naona ka nina bahati
Kwa yote uliofanya ohh thank you Lord
Miujiza mbele yako na piga goti
Wee ndo unaejua Napokanyaga napotembea
Na kila hatua dua Napopata napokosea
Wee ndo unaejua Napokanyaga napotembea
Na kila hatua dua Napopata napokosea
Umesababisha najidai
Umesababisha nafurahi
Natembea kifua mbele amen
Kwa hizi baraka na uhai
Baba sina cha kukudai
Aloniweka weka hapa ni wewe
Acha nikusifu milele amina
Milele amina milele amina ehh
Acha nikusifu milele amina
Baba milele amina milele amina ehh
Kama machozi
hayatoki tena Umeniokoa baba wee ni mwema
Nakuita mwokozi nakosa cha kusema
We ndo nambari moja nakupenda daima
Kuna mikasa na visa aah
Haya maisha ni vita ahh
Bado uko na mimi oohh
Mkono wangu umeushika ahh
Haujawai kuniwacha ahh
Nitakusifu milele baba wa mbinguni
Acha nikusifu milele amina
Milele amina milele amina ehh
Acha nikusifu milele amina
Baba milele amina milele amina ehh