• 17
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0

Lucky You

[Intro]
Yeah, yeah, yeah, yeah, yeh
Eeh, uh

[Chorus]
Kitu sina ni time, na day zina-fly (Uh, yeah, yeah)
Siezi afford ku-mark time mimi (Ah-ah)
Kitu sina ni time, na day zina-fly (Uh-huh, yeah)
Siezi afford ku-mark time mimi (Yeah)

[Verse 1]
Uh, we ni rapper, si unafaa kuwa una-brag
Juu ya bag? But wanang’am
Vile inakam, ata kaa husemi
Inner circle inaendanga tu ikikuwa pienga daily-daily
Trust si natural kwako, bado ume-tense
Plus kila mtu ana version yake ya events
Ushanionesha na ukinionesha nacheki
Ume-try ku-separate huu nutty professor na cake
Mi ni provider na steti
Jah my protector, wengine wakienda na ukedi
From ku-grow pamoja to saa kuonana wikendi
Najua mnacheki niki-make it
Nina masikio mahali siko

[Chorus]
Kitu sina ni time, na day zina-fly (Woo)
Siezi afford ku-mark time mimi
Kitu sina ni time, na day zina-fly
Siezi afford ku-mark time mimi


[Verse 2]
Hii kitu ni kaa interview
Na-do kitu fiti, uko like, "Hivi ndio ma-nigga hu-do"
Used to be sneaky, siku hizi hatufuchi hizi feelings
Went from, "Ni phase itapita tu" to "Mapenzi hakika tu"
Na-reason na roho, sio akili, risking like we don’t need to be doing
Na inatuumiza juu tunacheza chini
I been through things, you been through things, so really
Niki-imply hiyo ndio reason mi hukuwa hivi, I know you feel me
All gangsta mpaka tu-catch ma-feelings (Alafu nini?)
Alafu? Alafu jea-lou-sy (Ikifanya nini?)
Ikishaingia kwa picha
Huwanga imeingia kabisa

[Chorus]
Na kitu sina ni time, na day zina-fly
Siezi afford ku-mark time mimi
Kitu sina ni time, na day zina-fly
Siezi afford ku-mark time mimi

[Bridge]
I feel like my hours go (They go)
Faster than they used to go (Ahh)
You feel like you need more time with me
(Need more time with me)
I feel like my hours go (They go)
Faster than they used to go (Ahh)
You feel like you need more time with me
(Need more time with me)


[Outro]
Kitu sina ni time, day zina-fly
Siezi afford ku-mark time mimi
Kitu sina ni time, day zina-fly
Siezi afford ku-mark time, yeah, yeah
Kitu sina ni time, na day zina-fly
Siezi afford ku-mark time mimi
Kitu sina ni time, na day zina-fly
Siezi afford ku-mark time mimi

Recently Listened by

0 comments
    No comments found

:: / ::
::
/ ::

Queue