• 20
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0

Written, Produced, Mixed & Mastered by Flier

Ni siku ya pili hatujabonga
Mzozo wa juzi ulikua noma
Jana hatukulala pamoja
Ngware narauka umetoka
Siezi lie ninaskia nikudungie
Lakini pride haiwezi nitakufa
Kabla ni ku text ati
Aki babe uko wapi?

Tumekasirika
Kejani hakuna raha kumebadilika
Ananung'unika
Amani alikataa tumeanza vita
Ninachoma picha
Majirani wanashanga wakitusikiza
Kila siku visa
Ni nani alikosa nani ka lipiza
Tumekasirika

Nimeendelea series bila weh
Niko episode ya pili na ma feelings
Hata nikiulizwa siwezi sema vile ime end
Wacha sote tu pretend
And nime order vitu zile unapenda
Wanaleta tu masala kwenye salad juu ya nyama
Leo tutaona kama hutanena tena

Tumekasirika
Kejani hakuna raha kumebadilika
Ananung'unika
Amani alikataa tumeanza vita
Ninachoma picha
Majirani wanashanga wakitusikiza
Kila siku visa
Ni nani alikosa nani ka lipiza
Tume (Tume)

Weka ndeng'a down
Umeshinda this round
Mpenzi usinyambishe
Ukinikang'a nani atakupenda
Mbona una drama ka sinema

Ata sikumbuki ni kwa nini tuna fight
Nilisema kitu fulani huku like
Ukachochwa na jirani ati haiwezekani
Ata siku gani usikubali haifai
Ukafanya vitu nyingi to be mean
Nikasema mambo mengi si ku mean
Saa hii unabeba masuruali ukiita gari
Ati ikupeleke huko nyumbani kwa mummy

0 comments
    No comments found

:: / ::
::
/ ::

Queue