• 6
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0

Written, produced & arranged by Flier

Additional instrumentation by:
Samuel Mbaluka - Bass, Acoustic guitar
Calvin Baraka - Alto Saxophone

Bandia

Hao watiaji waambie
Shughuli wajipatie
Ushapendana na miye
Wacha kimnatho waskie
Watasakanya wadhi
Wakudanganya round hii
Tumewarada side hii
Piga pang'ang'a zaidi

(Ooh, Ooh, Ooh)
Hakuna pahali naenda, ha
(Ooh, Ooh, Ooh)
Hakuna pahali naenda, ha

Wengi wali come wakaenda
Na baby bado ananipenda
Mabrejin wali turn to ma hater
Nacheki wanajam tukimeta
Mafeki wana plan kama tenga
Zakunitenganisha nawe
Tunajua dhamira zao
Tusiendanishe nao
Mambleina wali try wakahema
Ma linesmen wali side na marefa
Mashabik wakadai nitafwekwa
Kwa mechi kuni slice wakachengwa

Marafiki bandia
Wametupangia
Tumeona kwa mbali
Tumeona maplani
Zakutuvamia
Wametupangia
Tumeona kwa mbali
Tumeona maplani
Marafiki bandia

Wengi wali doubt kama sisi
Tungeweza ata last ka kawiki
Walisema hii ni lust ya tudishi
Waka swear utaniacha kwa dhiki
Na ma years zika pass tuko fiti
Bado wa pass fitina zao
Tunajua dhamira zao
Husuda ndio zao
Hawaamini uko happy saa hizi
Maskini wameanza kuchizi
Wengine wanawashwa mwilini
Wakiskia unayetaka ni mimi

Marafiki bandia
Wametupangia
Tumeona kwa mbali
Tumeona maplani
Zakutuvamia
Wametupangia
Tumeona kwa mbali
Tumeona maplani
Marafiki bandia
Marafiki bandia
Bandia

0 মন্তব্য
    কোন মন্তব্য পাওয়া যায়নি

:: / ::
::
/ ::

কিউ