Ooooh no no no
Ona kule tumetoka na mbona sasa unasema umechoka
Ama ushampata Casanova, anayekupatia lishe bora
Juu kwanza nakumbuka tukianza vile uliniahidi tutapendana forever
Na sasa ni kwa nini ukaniweka chini miaka zaidi ya mbili sasa umeamua unaenda
Ni kipi mi sina? Ni kama tena haunijui jina no
Na haukujikinga, naskia tena ushapewa mimba
Na Sio Siri tena, Sio Siri
Sioni ikiweza
Sio Siri tena, Sio Siri
Siwezani kuweza
Sio Siri tena, Sio Siri
Sioni ikiweza
(Siri tena, Sio Siri)
Mwanzo tulikuwa kwa gorofa, mapenzi yetu ikaporomoka
Baadaye ukaja ukanichoma, oh sikujua jua pia ni nyota
Na ukweli sasa inaonekana, niliyempenda pia ameshanikana
Nilimpea kila kitu, nikampenda kila siku, chérie
Akageuka mdanganyifu, maswali zangu hawezi jibu, yaye
Ni kipi mi Sina? Ni kama tena haunijui jina no
Na haukujikinga, naskia tena ushapewa mimba
Na Sio Siri tena, Sio Siri
Sioni ikiweza
Sio Siri tena, Sio Siri
Siwezani kuweza
Sio Siri tena, Sio Siri
Sioni ikiweza
Sio Siri tena, Sio Siri
Siwezani kuweza
Pahali niko, sikutakii mabaya
Oh haya, yameshafanyika mama, umeshanizika mama
Ndani ya shimo, uliniwacha pabaya, oh haya yameshafanyika mama
Mapenzi yetu ishazama
Oh no no, Sio Siri Ma, umeniumiza
Oh no no, Sio Siri Ma, umenimaliza
Oh no no, Sio Siri Ma, umeniumiza
Oh no no, oh no no
#Watendawili #SioSiri