Moment of silence..(ssshh)
Malkia anabonga ni queen speech
Wengi wametry kunilink nko busy nadinya the game with a big ****
Femi One;
Moment of silence..(ssshh)
Wanyamaze nkibonga, wazip lips
Wengi wanatry kunilink nko busy nimekalia throne hii ni Queen's Speech
Hook:
Shanty Flames;
Who dat?
Who dat?
Alipata ball akapura
Alishika weng akafura sai ako yard
Hana form, kuzurura
Femi;
Yo Who dat?
Who dat?
Alipata ball akapura
Aliwasha ndom kupurura- akasundwa
Sai ako indaa juu ya surwa
Verse 1: Shanty Flames
Siezi kumention
Hii ni connection bana
Waliniona wakaniita new comer sai nkona Femi wanasema ni banger
Ay Shanty uko piwa?
Ulipotea ulishika maziwa?
Doba ni lit marijiwa madem wanatesa kwa ring na ni pure
Gisene nato gikuyo
Kiki tem gini puyo
Naongeza gear, hater kalia
Best known nani huyo? Shanty (Bobo)
Na ukumbuke jina
Gyaldem lit number nane repping
Naswitch lanes over taking
Na nikicheki nyuma jo siwacheki aargh
Pre-Hook:
Shanty Flames;
Moment of silence..(ssshh)
Malkia anabonga ni queen speech
Wengi wametry kunilink nko busy nadinya the game with a big ****
Femi One;
Moment of silence..(ssshh)
Wanyamaze nkibonga, wazip lips
Wengi wanatry kunilink nko busy nimekalia throne hii ni Queen's Speech
Hook:
Shanty Flames;
Who dat?
Who dat?
Alipata ball akapura
Alishika weng akafura sai ako yard
Hana form, kuzurura
Yo Who dat?
Who dat?
Alipata ball akapura
Aliwasha ndom kupurura- akasundwa
Sai ako indaa juu ya surwa
Verse: Femi One:
Mbona uko in shock ii ni gifted skill..
Tuko locked kwaizi streets for real
Ndo ufike place show ni mill plus gil
Maneger ni kuseal them deals
ripped out jeans na kicrop top *top boss
Sling n'ya kundanasu stoko
Instant hits maDJ wakona options
*Wee una doba mbili that we don know gai
Come for the queen and you better not miss...
Usipost then utense udelete
Toka jikoni uwezi stand hio heat
Top niko lonely nimekalia iyo seat -Uno -
Na mkumbuke jina
Gyaldem queen Kasarani *repping
My own lane bila *breki
Na nikicheki nyuma jo siwacheki aaargh
Pre-Hook:
Shanty Flames;
Moment of silence..(ssshh)
Malkia anabonga ni queen speech
Wengi wametry kunilink nko busy nadinya the game with a big ****
Femi One;
Moment of silence..(ssshh)
Wanyamaze nkibonga, wazip lips
Wengi wanatry kunilink nko busy nimekalia throne hii ni Queen's Speech
Hook:
Shanty Flames;
Who dat?
Who dat?
Alipata ball akapura
Alishika weng akafura sai ako yard
Hana form, kuzurura
Ay Who dat?
Who dat?
Alipata ball akapura
Aliwasha ndom kupurura- akasundwa
Sai ako indaa juu ya surwa
Verse 3: Shanty Flames x Femi One
Si rahisi kushika mamundo
Queen's speech watu wawili maeuro
Blessings nachinja adi anguro
Ni kaa sikukuu kuwatesa na Uno
Usitense *ndakuplug maburungo
Nkona keys to the game nkona viungo
Industry *wanga babe nkona dumbo
Mi ni their mom nawalea aa manewborn
Future iko bright ka solar
Haa mafans hujifanya wanabonga
Ebu washow vile sai tunasonga
Kila day tuko works tuko mboka
Day nd night huku East tuko focused
Walianzanga na pupa wachoka
Usanii ina wenyewe wanadai kuomo..
Hambelieve nyi mapagan okoka