Lyrics:
Ni nini ninachosema?
Ni nini nafanya tena na tena?
Ili unipe mapenzi yako
Ili uniite mimi wako
Binadamu tu
Njia zangu nyingi halifu
Lakini we wanipa utulivu
Na kila ninapokuita, wajibu.
Binadamu tu
Nia zetu sisi dhaifu
Ila ni wewe tu watupa nguvu
Na kila tunapokuita, wajibu
Sielewi
Sielewi
Sielewi
Sielewi (x2)
Unavyonipenda mimi kwa kweli sielewi