• 18
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0

released April 21, 2023
Written, Produced, Mixed & Mastered by Flier
license
all rights reserved

Wazungu wako Ulaya
Huku ni watu kawaida tu
Wenzako wachapisha riwaya
Ona mchango wako mawaidha tu
Nilikwambia nakupenda sana
Ukanikosoa grammar
Naskia ni ka na katia wahenga bana
Vile hukosi lawama
Ukiona sitimizi desire zako
Fuata wazungu wako Ulaya

Nitafuga madredi nisake mlami
Manzi hataenikejeli nikibanja ka mimi
Anipatie wakidi wa nywele curly
Bila hizi ma mabidii za kunibadili

Weh tangu upate ka mboka
Unakuanga na mapetho
Kila time you come over
Ukosangi tu maneno
Nilikanda mapocha
Akasema ziko ghetto
Anataka ma yogurt
Na vifaranga za Galito
Hey!

Wazungu wako Ulaya
Huku ni watu kawaida tu
Wenzako wachapisha riwaya
Ona mchango wako mawaidha tu
Nilikwambia nakupenda sana
Ukanikosoa grammar
Naskia ni ka na katia wahenga bana
Vile hukosi lawama
Ukiona sitimizi desire zako
Fuata wazungu wako Ulaya

Bae alienda India
Akarudi na sauti ya Kardashian
Problem
Vile pua inafinywa
Utadhani Uni major ilikua twang
Girlfriend
Amekuwa Fender Telecaster
Inacheza benga zile za kipalansa
Kila pahali tunaenda utampata
Juu ya kiingereza kama visiting pastor
Askofu
(Heh)

Tangu utoke mayola
Unakuanga na mapetho
Kila time nakulola
Hukosangi tu maneno
Unapenda kununa
Tangu utengeze mameno
Jana tulikua boo'd up
Leo siyuko level
Hey!

Wazungu wako Ulaya
Huku ni watu kawaida tu
Wenzako wachapisha riwaya
Ona mchango wako mawaidha tu
Nilikwambia nakupenda sana
Ukanikosoa grammar
Naskia ni ka na katia wahenga bana
Vile hukosi lawama
Ukiona sitimizi desire zako
Fuata wazungu wako Ulaya

0 comments
    No comments found

:: / ::
::
/ ::

Queue