• 86
  • 3
  • 0
  • 0
  • 0

TITLE: Ngoko
ARTIST: Tosh Kiama
AUDIO PRODUCER: God Bless Eastern

Yoh!
Tosh!
Skiza! Yeah!

Hii ni ya mangite na mangoko
Hii ni ya mangite na mangoko
Hii ngoma ni ya mangite na mangoko
Nataka iwabambe kwa ma-local

Hii ni ya mangite na mangoko
Hii ni ya mangite na mangoko
Hii ngoma ni ya mangite na mangoko
Nataka iwabambe kwa ma-local

Miutamaningi kuwa sonko
Drip safi nakupita ndani ya Volvo
Maisha ilianza nikimada form 4
Mbogi PBH tulitoa ma-song joh
"I'm a Baller" crunk moto ili-donjo
"Dame Naweza Penda" nayo ili show-stop
Baada ya muda ikabidi ma-reform so
Collabo za Injili na mbogi ya Wernono
Mandugu walinishika mkono
"King's Mic" ngoma hatari kama Zorro
Nikaanza plan za kuenda solo
Sai nimerudi ka mse alikuwa mayolo (w'sup?)

Hii ni ya mangite na mangoko
Hii ni ya mangite na mangoko
Hii ngoma ni ya mangite na mangoko
Nataka iwabambe kwa ma-local

Hii ni ya mangite na mangoko
Hii ni ya mangite na mangoko
Hii ngoma ni ya mangite na mangoko
Nataka iwabambe kwa ma-local

Sai mziki imeshika moto
Vile imekuwa uneza dhani ni ndoto
Kitambo wasanii walikuwa ndani ya msoto
Sai ni magari na manyumba sema comfort
Serikali sai ina-disappoint though
Kitu ngumu vijana sai ni ku-get doh
Wanasiasa walipotea after election
Sai mbio mtaani on your marks get set go!
I wish waneza bebwa na upepo
Tujenge nchi yetu na si tu maneno
Anyway Tosh sai niko stable
Wasanii kaeni chonjo nakuja ku-mengo

Hii ni ya mangite na mangoko
Hii ni ya mangite na mangoko
Hii ngoma ni ya mangite na mangoko
Nataka iwabambe kwa ma-local

Hii ni ya mangite na mangoko
Hii ni ya mangite na mangoko
Hii ngoma ni ya mangite na mangoko
Nataka iwabambe kwa ma-local

Recently Listened by

0 comments
    No comments found

:: / ::
::
/ ::

Queue