MR. VIGETI (2016)

[Intro: Gramps Morgan]
Jamaica to Kenya!
Eeh! Ooh oh eeh!
Johnny Vigeti! Gramps Morgan again!
Woh hoi! Hae hae! hae! Hae! hae!
Johnny Vigeti say!
Oh oh oh yeah!
Oh oh oh yei!
Sing!

[Verse 1: Vigeti]
Kweli man!
Ngonja nikwambie nimefurahia kuwa hapa
Na leo sija kuja kuwatishia sikuwachapa
Issue, kuji-achia kuna after, party
Watu kunywa beer, watu kunywa Tusker
Mahewa pulizia-tu mashasha (hehe!)
Hapo vipi? Hapo sawa!
Machizi wamekuja ki-full kipango hawa
Na ni-evident waki-come through kwa mlango sawa

Pembeni baby boo ako tako ya pawa
Tulizeni tu mambo ya kawa, tulizeni tu mambo ya dawa
Nikasema fuate shugli zenu, tuwepo manawa

Kweli man!
Maisha ni fupi, weh enjoy man
Nime makinika si-stuki
For real! Naaminisha sikufi
Vaa rubber kila ukibadilisha vi-chupi

[Chorus: Gramps Morgan]
Every time they talk behind your back (yeah)
Never mind, never mind what they say (yeah)
People will always say things, but never mind
You got to reach out, and reach your dreams (yeah)

[Verse 2: Vigeti]
Mungu yuko man, enjoy maisha haya
Uki-focus set vile form itaisha haya (eh)
Stress ya bure ya nini?
Ukianza ku-act nikama hukuenda shule lakini
Si-usunde alafu ndio ukule hamsini
Wengine jealousy kibao dio udungwe na mpini
Kukulia makali, machungu kanywaji kana sumu-ka
Amini –ka ndugu, amini ya Mungu
System yote imeharibiwa na nani? Ni mzungu
Ukisema upige hesabu fulani kizunguzungu
Kwa hivyo poa count ma-blessings
Tutaonana baadaye niko out mabesteh
Big-up jamaa na marafiki
Allah tuepushe ile kukaa na manafiki
Tusha-choka, ni mbali tusha-toka
Kaa ni salvation mshikaji, tusha-okoka

[Chorus: Gramps Morgan]
Every time they talk behind your back (yeah)
Never mind, never mind what they say (yeah)
People will always say things, but never mind
You got to reach out, and reach your dreams (yeah)

You haffi live your life, live your life (yeah)
Live your life, no matter what bad mind people say!

Every time they talk behind your back (yeah)
Never mind, never mind what they say (yeah)
People will always say things, but never mind
You got to reach out, and reach your dreams (yeah)

They will try yeah eeh eeh
Live your life, live your life yeeah

Recently Listened by

0 comments
    No comments found

:: / ::
::
/ ::

Queue