Quafff | SIMBA MARARA (Official Audio)

3 рд╡рд░реНрд╖реЛрдВ рдкрд╣рд▓реЗ рдореЗрдВ рдЕрдиреНрдп
  • 5
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0

Be the PREDATORЁЯжБ , Just Don't be the PreyЁЯРР
Producer: Quafff (The Tragic Studio)ЁЯОз
Executive producer: Quafff
Beat: Shirazi BeatsЁЯО╡( https://youtube.com/c/RudeXherazi )
Video:The Tragic StudioЁЯОм
Lyrics by: Quafff ЁЯО╝
Composer: Quafff ЁЯО╢
Distributor: The Tragic Studio, LLC ┬й2022
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
For Collabos, Bookings & More: +254710444121
Email| thequafff@gmail.com
Instagram| https://instagram.com/thequafff
TikTok| https://tiktok.com/thequafff
Facebook| https://facebook.com/Quafff
Twitter| https://twitter.com/thequafff
#simbamarara #doublehunt #quafff

Tragic! Tragic! Tragic!
Huh! The Quafff!
Kutoka kwa den guess what si ni king wa gang
Ndio nimeanza na nambli ashaa-complain
For me issa double hunt ni lazima nishibe mzee
Niite simba marara
Simba marara
Kutoka kwa den guess what si ni king wa gang
Ndio nimeanza na nambli ashaa-complain
For me issa double hunt ni lazima nishibe mzee
Niite simba marara
Simba marara marara marara
First of all, Mi ndio nimetop food chain ofcourse
Without any further ado washaajua mi ndo their king and Boss
You better look both ways ka unafikiria kuni-cross
But on caution mih si zebra so avoid
Cheki Am trying to make a move,
And your prey is loose
Den ya Kwenyu mi ni Bad news
Ma**** wenyu huni-woo
Bila Crown bado narule,
Kwanza ata bila crew
Unaniona stage unaanza shuu
Bro am not a cat you fool
Wanauliza nmepotea sana nmekuwa undercover
Info's very fragile bana siezi gawa
Ni lazima Ukuwe carnivorous ndio uingie kwa chama
Simba amefika mjini cheki
Kutoka kwa den guess what si ni king wa gang
Ndio nimeanza na nambli ashaa-complain
For me issa double hunt ni lazima nishibe mzee
Niite simba marara
Simba marara
Kutoka kwa den guess what si ni king wa gang
Ndio nimeanza na nambli ashaa-complain
For me issa double hunt ni lazima nishibe mzee
Niite simba marara
Simba marara marara marara
Siezi roll na the Big 5 naeza manage alone am Big cat now
Welcome to the real life,
Ka huezi roar utapigwa ma-missile
Over elected junior-senior sooner
IQ over 90 kahuna,
On this tune am loonier
African CatMan so superior
Wamekuwa wakinitreat kama paka
Little they had known ntakuwa their hunter
Nikiwapata nanguruma on purpose full respect ndio naexpect hapa
Usijione sungura mjanja unataka kunitame utatoka hapa fasta
Nararua hizi mistari mi mnyama imebaki kidogo waniite onyancha (mmh)
Wanauliza nmepotea sana nmekuwa undercover
Info's very fragile bana siezi gawa
Ni lazima Ukuwe carnivorous ndio uingie kwa chama
Simba amefika mjini cheki
Kutoka kwa den guess what si ni king wa gang
Ndio nimeanza na nambli ashaa-complain
For me issa double hunt ni lazima nishibe mzee
Niite simba marara
Simba marara marara marara

рд╣рд╛рд▓ рд╣реА рдореЗрдВ рд╕реБрдиреЗ

0 рдЯрд┐рдкреНрдкрдгрд┐рдпрд╛рдБ
    рдХреЛрдИ рдЯрд┐рдкреНрдкрдгреА рдирд╣реАрдВ рдорд┐рд▓реА

:: / ::
::
/ ::

рдХрддрд╛рд░