• 130
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0

The song is performed by MATATA in order of appearance ( Richie, Festus, Ken, Freddy and Marcus)
Audio
Written and performed by : Matata
Instrumental: Pink
Mix and Mastering : mixedbychopz
Recording Engineer : Haldor August Sørmoen
Premix edit : Ape music
Arrangement: Matata

Lyrics
Chorus
Ni birthday ni party, ni yako
Na maji tunakata juu yako
Ma cookie na ma keki Ni zako
We kam tu na caro, pitanga uki

Kata, kata, kata kairetu kata
Kata usiogope, leo tuna parteee
Watuokote x2

Verse 1
Leo Leo leo ni leo leo
Ile siku, Dudu hugeuka, kipepeo
Ile siku paka huswing na kibembeo
Ile siku hadi dogi Zi huwika weaw meaw
Nina doo za kuthrow form ni how how
Mr luku luku swag ya ki bow wow
Sio masoo ni mangire mathao thao
It’s your bash make a wish blow my candle

Verse 2
Nimecome na zawadi, kila aina
Makolon na ma cladi za Desighner
Kabla twende bash kwanza Twende diner
Machapo machipo na take out za Ki China
Alafu Leo Dunga zile zina bana
Zenye mafisi wakiona, yes bana
Alafu tip toe kidogo sio sana
Mwambie aliye kuzaa tumesema asant sana

Chorus
Ni birthday ni party, ni yako
Na maji tunakata juu yako
Ma cookie na ma keki Ni zako
We kam tu na caro, pitanga uki

Kata, kata, kata kairetu kata
Kata usiogope, leo tuna parteee
Watuokote x2

Verse 3
Kairetu ka ni keki kata
Nakupata party umedunga bata
Unakataa maji we ni drunken master
Kiuno spaghetti Na mimi ni pastor
Githeri ya mary wa nyeri (ahhh)
Sherehe na Njeri ndumberi (ahhhh)
Puliza candle wish icome true
peng ting me na handle age ni number tu

Verse 4
Sijaitwa bash nimekam kimangoto
Zikishika nakwama kiroboto
Na mzinga mi si buy mi si msoto
Ka ni ngori sijajaa juu ya toto
Wanapiga mboto matata kwa mtaa
Nashinda loto nabado anakataa
Leta champagne na chupaa za belaire
Dufo mpararo leo tunaogelea

Chorus
Ni birthday ni party, ni yako
Na maji tunakata juu yako
Ma cookie na ma keki Ni zako
We kam tu na caro, pitanga uki

Kata, kata, kata kairetu kata
Kata usiogope, leo tuna parteee
Watuokote x2

0 kommentarer
    Ingen kommentarer fundet

:: / ::
::
/ ::