• 30
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0

Audio produced by Leon Vybes (straymusic)
Mastered by Sifa

Dem Kutoka Mwiki

Ukianza kushika mkwanja nd'o v'le enemies scheme
Jina inajulikana n'ko kwa everything big
Longevity, inaseem I'm ahead of these things
Maisha'a-usanii ni toxic zaidi ya Methylene steam

Shiko kadem ka Mwiki Kasa Seventeen B

N'kafall in love na mziki and what the industry itabring - picture evergreen trees, leafy suburb sweet bliss?

N'kazama ndani ya mchezo kama submarine seal

Mahater wajai niimagine mi nd'o bingwa in this ****
Nishavalishwa taji juu ya kichwa and it fits

Baridi ya watiaji haipiti glass ya windscreen
Nishatema washkaji n'kama tangarine seeds

Banga-iz siz, mi ndo mama these kids
Na sharti niwafunze ama mtamangwa in these streets
Nko kazi, lazma mkule, i guess ni motherly instincts
Inafaa mpelekwe shule, on how to murder these beats (aaaargh)

Recently Listened by

0 comments
    No comments found

:: / ::
::
/ ::

Queue