Unawasha moto ata bila kuwa na kibiriti
We hufanya nini ndio ukaange tu fiti hivi
Aki mama
Mpaka moyo wangu unasimama
Na ungekuwa chakula mpenzi wangu ningeweka nyingi
Kupata mchuzi kama wako manze si rahisi
Aki mama
Staki tena mi kukudanganya
Juu mi hukuonea mbali nakuwanga na tamaa
Ni venye sijawahi sema sitakangi drama
Je uko na chali ama uko single
Na ka uko single pia naeza dai tumingle
PRECHORUS
Aaah na itakuwa uchungu sana ukinilenga
Juu kwa ndoto zangu, we ukuwanga wangu
CHORUS
Na si upendana for real, for real
Nataka ukuwe wangu for real, for real
Nataka ukuwe wangu for real, for real
For real
Njoo basi ukuwe wangu for real
VERSE 2
Kidegee Kidegee, tumepanda matatu lakini kesho ndege
Aaah
Mpenzi mi ni mi na wewe
Juu hii safari joh sioni bila wewe
La
Salama salimin, nataka niwe wako
Fumba na ufumbue macho
Nataka niwe wako
Njoo unitulizie mawazo
Nataka penzi lako
Kuja nimefungua mlango
Iko wazi juu yako
PRECHORUS
Aaah na itakuwa uchungu sana ukinilenga
Juu kwa ndoto zangu, we ukuwanga wangu
CHORUS
Na si upendana for real, for real
Nataka ukuwe wangu for real, for real
Nataka ukuwe wangu for real, for real
For real
Njoo basi ukuwe wangu for real
Na si upendana for real, for real
Nataka ukuwe wangu for real, for real
Nataka ukuwe wangu for real, for real
For real
Njoo basi ukuwe wangu for real
OUTRO
Uwe wangu uwe wangu
uwe wangu uwe wangu uwe wangu
kuwa wangu ma
uwe wangu uwe wangu
Aaah wangu
uwe wangu uwe wangu
uwe wangu uwe wangu
#Watendawili #Forreal